Tuesday, July 31, 2018

WANAWAKE NA UMILIKI WA ARDHI

Image may contain: text
Leo tunajadili Umuhimu wa kumiliki Ardhi kwa wanawake kama njia ya kuongeza uzalishaji kupitia kilimo na kuongeza upatikanaji wa chakula, na hivyo kukuza uchumi na kupunguza umasikini nchini Tanzania. 

Kwa kutumia takwimu hapo juu unaweza kutathmini hali halisi mkoani, Wilayani, na katani kwako.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...