Monday, July 30, 2018

ADVOCACY, SECURITY MANAGEMENT AND RISK ASSESSMENT TRAINING FOR HRDs WORKING ON CHILDREN RIGHTS

Shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania tunashiriki kwenye mafunzo ya siku tatu yanayofanyika Zanzibar yanayolenga kuwajengea uwezo watetezi wa haki za binadamu wanaofanya kazi za ulinzi na usalama wa watoto, watetezi wanajengewa uwezo kwenye maeneo ya utetezi, ulinzi na kutathmini adhari.
Door of Hope imewakilishwa na Mkuu wa Program, zoezi lililofuatana na utoaji wa vyeti kwa ajili ya kutambua ushiriki wao.
Mafunzo yameandaliwa na Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania THRDC,


Mkuu wa Programu za Uwezeshaji kutoka Door of Hope Ritha Kiteleki akipokea cheti cha utambuzi wa Ushiriki wake kwenye Mafunzo ya Utetezi na Ulinzi kwa Watetezi wa Haki na Ulinzi wa Mtoto Tanzania

Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi (Katikati)  Waziri anayeshughulikia masuala ya Watoto Zanzibar, wa pili kutoka kushoto ni Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu Tanzania Ndg. Onesmo Olengurumwa

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...