Monday, July 30, 2018

Uwezeshaji wa Vijana kwenye Mkakati wa Kitaifa wa ushiriki kwenye Kilimo wa Mwaka 2016-2021

Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mr. Evod Mmanda akiongea na washiriki wa warsha wakati wa kufungua warsha ya kujengea uwezo vijana wa Lindi na Mtwara juu ya mkakati wa taifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo 2016-2021.
Warsha imeandaliwa na DHWYTanzania kwa kushirikiana na ANSAF na AMSHA.

Elimu ya kujitegemea na Stadi za kazi mashuleni ni muhimu, serikali irudishe mfumo wa zamani wa wanafunzi kufanya kazi mashuleni vinginevyo umasikini kwa vijana na jamii hautakoma. Amesema hayo kijana Happy Mfinanga.
Vijana kizazi cha kwanza cha haki za binadamu. 

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...