Monday, July 30, 2018

VIJANA NA KILIMO

Afisa Kilimo kutoka wilaya ya Mtwara akiongea na vijana wa Lindi na Mtwara wanaoshiriki kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana juu ya Mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo 2016-2021.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...