Tuesday, July 31, 2018

PROGRAMU YA KUIMARISHA UCHUMI NA UJASIIRIAMALI KWA WANAWAKE NA VIJANA - ECONOMIC STRENGTHENING AND ENTREPRENEURSHIP PROGRAM

Shirika la Mlango wa Matumaini kwa wanawake na vijana nchini Tanzania - Door of Hope to Women and Youth Tanzania, limekutana na kufanya majadiliano na wanawake wajasiliamali wa Halmashauri ya Mtwara Mikindani. Hatua ya maandalizi ya kuwawezesha namna bora ya kutumia mikopo, kukuza biashara zao, huduma kwa wateja, kuwekeza, na namna ya kuboresha biashara zao.
DHWYT empowers Tanzanias' women and Youth for Sustainable Socio-economic Development.


Mkurugenzi Mtendaji Ndg.  Clemence Clelinus Mwombeki akiangalia namna bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wanawake zilivyofungwa kwa ubora

DHWYT supports and empowers women and Youth

Afisa programu wa Door of Hope to Women and Youth Tanzania James Basil akizungumza na akina mama wajasiliamali waliofika ofisini kwa ajiri ya kuhakikiwa vyeti vyao, tayari kwa uwezeshwaji.

Mkurugenzi Mtendaji DHWYT akiwapa hamasa akina mama walioonyesha uthubuti kwenye biashara na shughuli za kujipatia kipato.

Wanawake walioleta bidhaa zao kwa Mkurugenzi Mtendaji. Pichani ni majadiliano ya namna ya kuboresha biashara zao na kukuza kipato




Empowering women and Youth in Tanzania

Afisa ufuatiliaji na tathmini akihakiki nyaraka mbalimbali za wanawake, maandalizi ya mafunzo na elimu ya fedha.

Akina mama Wajasiliamali wa Halmashauri ya Mtwara Mikindani.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...