Tuesday, July 31, 2018

PROGRAMU ZA UWEZESHAJI KWA VIJANA NA WANAWAKE ZINAZOTEKELEZWA NA DOOR OF HOPE TANZANIA

No automatic alt text available.
Umekuwa ukiona kazi zetu na Una swali/maswali juu ya Programu mbalimbali za Uwezeshaji wa Vijana na Wanawake nchini Tanzania? Hapa ndipo mahali sahihi. Uliza swali lako juu ya Programu hizi kwenye picha, na endelea kutufuatilia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii.

Na je ungependa kusaidia kusapoti programu moja wapo kati ya hizi? wasiliana nasi kupitia info@tywf.or.tz au tupigie moja kwa moja kupitia +255 23 233 4811

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...