Monday, July 30, 2018

VIJANA WASHIRIKI WA WARSHA KUTOKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

Picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mhe. Mkuu wa Wilaya Ndg. Evod Mmanda baada ya kufungua warsha ya kuwajengea uwezo vijana wa Mkoa wa Lindi na Mtwara juu ya Mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo. Pichani mbele kutoka kushoto ni Afisa wa Kilimo kutoka Mtwara DC, Mkurugenzi wa ANSAF, Mkurugenzi wa Door of Hope Tz, na Afisa Maendeleo ya Vijana wa Mkoa wa Mtwara







No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...