Tuesday, July 31, 2018

SOCIAL ACCOUNTABILITY MONITORING - UFUATILIAJI WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII

Kupitia Timu za SAM yaani Social Accoutability Monitoring (Ufuatiliaji wa Uwajibikaji jamii) kwenye ngazi ya kata na Wilaya, Vijana na Wanawake wanashiriki kikamilifu kwenye hatua kuu tano zilizoko kwenye Mfumo wa Uwajibikaji kwa Jamii.

Lengo ni Kuwezesha upatikanaji na Uboreshaji wa huduma za jamii kama Maji (6 SDG), Afya (3SDG), Elimu (4SDG), Usawa wa Kijinsia (5 SDG)

Fuatilia mijadala yetu kwenye mitandao ya Kijamii.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...