Tuesday, July 31, 2018

SIKU YA KUFUNGA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA UIMARISHAJI WA UCHUMI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA MTWARA MIKINDANI

Tunamshukuru Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara mikindani kwa kufunga mafunzo ya kukuza uchumi na ujasiliamali kwa wanawake yaliyofanyika kwa siku 2.
Wanawake katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani

Picha ya pamoja na Mkurugenzi wa manispaa, WEOs, CDOs na watumishi wa DHWYT

Mkurugenzi Door of Hope Mr. Clemence Clelinus Mwombeki akitoa ufafanuzi na taarifa fupi juu ya mpango wa taasisi kuwawezesha wanawake kwenye wilaya ya Mtwara

Mkurugenzi akitoa neno kwa wanawake Wajasiliamali

Kuwasili kwa Mkurugenzi ukumbini

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii akiongea na wanawake walioshiriki Mafunzo ya Kuimarisha uchumi na Ujasiriamali

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...