Monday, July 30, 2018

VIJANA NA KILIMO CHA BIASHARA

Kijana Maulidi Ferouz kutoka wilaya ya Tandahimba akitoa ushuhuda wa mafanikio kwenye kilimo biashara. Maulidi anakampuni yake na vijana wemzake wanakamua ufuta na kutengeneza mafuta ya kupikia.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...