Monday, July 30, 2018

WANAWAKE NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA

Shukrani sana kwa Safari redio kwa kuendelea kutoa vipindi vya uhamasishaji wa wanawake kushiriki kwenye maswala ya kiuchumi na kijamii.
Mada ya iliyojadiliwa leo ni juu ya
Fursa na changamoto walizazowakabili wanawake wakati huu serikali inapotekeleza mpango wa viwanda (serikali ya Viwanda)

Pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa Door of Hope Tanzania alipokaribishwa na Mwandishi wa Habari wa Safari Redio kutoa uelewa na ufafanuzi juu ya Changamoto na Fursa walizonazo wanawake wa Tanzania kwenye ushiriki chanya kwenye uchumi wa Viwanda. 

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...