Uzinduzi wa Shughuli ya Mafunzo ya Ujasiliamali na Kukuza uchumi kwa wanawake wa wilaya ya Mtwara. Door of Hope to Women and Youth Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamefadhili na kuendesha Mafunzo maalumu kwa Vikundi vya akina mama wanaotarajia kupata mikopo kutoka halmashauri kama sehemu ya 10% ya mapato ya ndani. Mafunzo haya yatawanufanisha takribani wanawake 500 wa wilaya ya Mtwara pekee.
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akizindua programu ya mafunzo kwa wanawake wajasiliamali iliyoandaliwa na DHWYT |
No comments:
Post a Comment