Tuesday, July 31, 2018

CIVIC EDUCATION TO WOMEN AND YOUTH - "WOMEN AND YOUTH POWER"


Civic education and awareness has the nature of liberating people.  It has the capacity to create informed, empowered and responsible citizens who contribute towards sustainable development in their communities, beyond citizens who are just passive subjects of the state. In light of this, government of Tanzania through its various endeavours has been providing Civic Education to citizens to enhance their competence and opportunity to participate meaningfully and responsibly in self-governance. Tanzania as it is in many African countries under the democratic system of governance hasn't done enough in provision of civic education and democratic governance to youth-girls and women. For instance in 2015 during general election we witnessed number of youth and women making decision in choosing their political leaders just because of gifts and fake promises. Not only that also many women voted due to influence from their husbands and not because of their will. This isn't acceptable when the issue of development and forcing political leaders accountable comes. The experience also shows that Civic education in Tanzania has been provided during the closest months to general election and sometimes being interfered or restricted by campaign process and therefore to be inadequately provided or unable to reach all voters. The concept now insist this education and awareness to be provided at least within two years before the election so as to reach majority youth and women with voting age and create enough awareness.
However, According to the current study on Youth and women participation in public matters (2017) by DHWYT in some of Tanzania districts like Tandahimba, Liwale, Lindi and Mtwara, it was discovered that this kind of civic awareness is neither constantly provided nor reaching the majority citizens especially the youth and women who form 75 percentage of the population. Many times, this Civic education and awareness on political participation is only conducted by a few CSOs and NGOs during periods of general elections as opposed to this being a systematic and continuous process. And the study again shown that to every 10 youth and women, only 2 have at least little civic awareness and 8 haven't.
Therefore, civic education and awareness of political participation in Tanzania has not been accorded the importance it deserves in building the civic competence and removing exploitation among women and youth groups, evoking an active citizenry and entrenching the democratic culture. That being the case many people and especially youth and women remain in the peripheral when it comes to participation, involvement in the political, governance and electoral processes in their immediate communities and the country at large. There is no evidence that they have had any influence on these processes. DHWYT in this intervention intends to raise political and civic awareness and conduct voters’ education among women and youth so that they are able to effectively and meaningfully engage in political, governance and electoral processes in their communities, and hold the government accountable in terms of service delivery. Another discouraging experience an example from Mtwara and Tandahimba is that majority who are women and youth neither attend the campaign to listen their candidates nor appear to vote for them. This can only be addressed through creating awareness on political and civic education to Youth and women and engage in advocacy platform with duty barriers to see the importance of this kind of awareness to these social groups.   
At DHWYT we recognize that Political awareness and Civic education must be provided regularly to the majority Youth and women so that they are able to exercise their civic rights, roles, and responsibilities. This way they are able to contribute towards the sustainable development they wish to see in their communities and the country at large .We also appreciate that while the women and youth-girls have been marginalized for a long time, the youth in particular form a young, representative, vibrant constituency that makes the core voting age. They are available, they are evenly distributed, and they have the energy and constitute a formidable game changer when it comes to governance and electoral issues. Once well organized, well mobilized, and their advocacy knowledge on good governance, political participation and electoral process is sharpened can form the back born of the needed change in their communities. These groups once empowered with information will be able to demand their participation, hold duty bearers into account and contribute towards government leadership that delivers services to the people inform of job creation, infrastructure development, quality healthcare and education.
Image may contain: 12 people, people sitting

PROGRAMU YA KUIMARISHA UCHUMI NA UJASIIRIAMALI KWA WANAWAKE NA VIJANA - ECONOMIC STRENGTHENING AND ENTREPRENEURSHIP PROGRAM

Shirika la Mlango wa Matumaini kwa wanawake na vijana nchini Tanzania - Door of Hope to Women and Youth Tanzania, limekutana na kufanya majadiliano na wanawake wajasiliamali wa Halmashauri ya Mtwara Mikindani. Hatua ya maandalizi ya kuwawezesha namna bora ya kutumia mikopo, kukuza biashara zao, huduma kwa wateja, kuwekeza, na namna ya kuboresha biashara zao.
DHWYT empowers Tanzanias' women and Youth for Sustainable Socio-economic Development.


Mkurugenzi Mtendaji Ndg.  Clemence Clelinus Mwombeki akiangalia namna bidhaa mbalimbali za wajasiliamali wanawake zilivyofungwa kwa ubora

DHWYT supports and empowers women and Youth

Afisa programu wa Door of Hope to Women and Youth Tanzania James Basil akizungumza na akina mama wajasiliamali waliofika ofisini kwa ajiri ya kuhakikiwa vyeti vyao, tayari kwa uwezeshwaji.

Mkurugenzi Mtendaji DHWYT akiwapa hamasa akina mama walioonyesha uthubuti kwenye biashara na shughuli za kujipatia kipato.

Wanawake walioleta bidhaa zao kwa Mkurugenzi Mtendaji. Pichani ni majadiliano ya namna ya kuboresha biashara zao na kukuza kipato




Empowering women and Youth in Tanzania

Afisa ufuatiliaji na tathmini akihakiki nyaraka mbalimbali za wanawake, maandalizi ya mafunzo na elimu ya fedha.

Akina mama Wajasiliamali wa Halmashauri ya Mtwara Mikindani.

SIKU YA KUFUNGA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI NA UIMARISHAJI WA UCHUMI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WA MTWARA MIKINDANI

Tunamshukuru Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara mikindani kwa kufunga mafunzo ya kukuza uchumi na ujasiliamali kwa wanawake yaliyofanyika kwa siku 2.
Wanawake katika picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani

Picha ya pamoja na Mkurugenzi wa manispaa, WEOs, CDOs na watumishi wa DHWYT

Mkurugenzi Door of Hope Mr. Clemence Clelinus Mwombeki akitoa ufafanuzi na taarifa fupi juu ya mpango wa taasisi kuwawezesha wanawake kwenye wilaya ya Mtwara

Mkurugenzi akitoa neno kwa wanawake Wajasiliamali

Kuwasili kwa Mkurugenzi ukumbini

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii akiongea na wanawake walioshiriki Mafunzo ya Kuimarisha uchumi na Ujasiriamali

WANAWAKE NA UJASIRIAMALI

Image may contain: 1 person, standing
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Evod Mmanda akitoa neno kwa wanawake na kuwasisitiza nafasi yao katika uchumi wa Viwanda.

ECONOMIC STRENGTHENING TO WOMEN AND YOUTH

Uzinduzi wa Shughuli ya Mafunzo ya Ujasiliamali na Kukuza uchumi kwa wanawake wa wilaya ya Mtwara. Door of Hope to Women and Youth Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wamefadhili na kuendesha Mafunzo maalumu kwa Vikundi vya akina mama wanaotarajia kupata mikopo kutoka halmashauri kama sehemu ya 10% ya mapato ya ndani. Mafunzo haya yatawanufanisha takribani wanawake 500 wa wilaya ya Mtwara pekee.
Image may contain: 3 people, people sitting and indoor
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akizindua programu ya mafunzo kwa wanawake wajasiliamali iliyoandaliwa na DHWYT

WANAWAKE NA UJASIRIAMALI


Image may contain: 5 people, people smiling, people standing and indoor
Wanawake wakifanya mchezo wa Mama Jamila, kama sehemu ya kunyoosha viungo vyao wakati wa Mafunzo ya uwezeshaji wa Kiuchumi na Ujasiriamali yaliyoandaliwa na shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania

WANAWAKE NA UCHUMI

Image may contain: 3 people, people sitting and indoor
Mwezeshaji kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii

WANAWAKE NA UCHUMI

Image may contain: 4 people, people sitting and indoor
Mshiriki akichangia mada wakati wa Mafunzo

WANAWAKE NA UJASIRIAMALI - KUONGEZA KIPATO NA KUKUZA UCHUMI WA KAYA

Image may contain: 4 people, people sitting, table and indoor
Mkurugenzi Mtendaji Door of Hope akiongea na akina mama wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na DHWYT kwenye Ukumbi wa BOT MTWARA

NGUVU YA KURA YA MWANAMKE NA MSICHANA

Mkurugenzi wa DHWYT, Aliyasema na kuyaandika haya siku chache kabla ya Uchaguzi , Septemba 26, 2015 akiwa anatoa elimu ya Uraia na ya mpiga kura kwa Wasichana na wanawake. DHWYT inawawezesha vijana na wanawake kuelewa na kushiriki kwenye maswala ya kitaifa, sambamba na Kuelewa masuala ya Uwajibikaji Jamii. **********|||||||||. SOMA.|||||||

Wanawake ni wengi sana nchini Tanzania; Wakiamua leo kufanya maamuzi sahii, nchi yetu inaweza kupaa katika nyanja zote za kimaisha; yaani kiuchumi, kijamii, kisiasa(demokrasia) n.k
Ni ukweli ulio wazi kwamba pamoja na wingi wa wanawake na wasichana bado mchango wao umekuwa mdogo kuleta mabadiliko chanya kwani ndio wingi wao huo huo umekuwa unaamua na kuchagua viongozi dhaifu/ wasiofaa kwa maendeleo katika maeneo yetu, na Tanzania kwa ujumla. Hii imekuwa ni changamoto kubwa sana na imekuwa ikidhoofisha demokrasia nchini na misingi yake. 
Ikumbukwe kuwa elimu ya uraia ni haki ya kila mwananchi(Mtanzania) na inamuezesha na kumuongezea ufahamu, maarifa juu ya masuala ya umma; mfano jinsi ya kuchagua na kuwapata viongozi bora wanaoweza kuleta maendeleo. Elimu hii imekuwa haitolewi kwa wananchi na hasa wale wa vijijini. 
Wanawake waliowengi wamekuwa wakichakua bila hiari yao, wamekuwa wakichagua kwa misukomo flani flani, zawadi ndogo ndogo, pesa, pombe(10,000/=), vitenge, kanga, madela,sukari au vyakula n.k , 
hii ni hatari kwa nchi yetu, kiasi kwamba matatizo ya nchi hii tuliyonayo sina shaka kwamba wanawake na wasichana wamechangia kwa kiasi kikubwa sana. Hata hivyo ni matamanio yetu kuona tatizo hili linaisha kabisa mwaka huu kwa wadau na watu binafsi kuendelea kutoa elimu na ufafanuzi juu ya jambo hili hatali kwa mstakabali wa nchi yetu. 
Ikumbukwe pia kuwa ni wanawake hao hao wamekuwa wakilalamika juu ya huduma mbaya za afya, maisha magumu, maji, n.k bila kukumbuka kuwa zawadi walizozipokea wakati kama huu ndio maendeleo na huduma zao.
Rai yangu kwa wanawake na wasichana nchini, ni wakati wenu kulivusha taifa letu hapa lilipo, ni wakati wenu kupunguza vilio, ni wakati wenu kuonyesha watanzania na dunai kwamba kura yenu inathamani.
Siku zote rushwa na zawadi vinapofusha na kupumbaza, kamwe usipokee rushwa na ukaishia kufanya maamuzi yasiyo kuwa sahii.
Kudanganywa kila mwaka, kurubuniwa, kutumiwa vibaya na wakati mwingine kutishwa ni matokeo ya wananchi kutojua thamani yao katika uongozi na kuchagua.
KURA YAKO NI MAISHA YAKO KWA MIAKA 5 (Chagua kucheka au Kulia)

WANAWAKE NA UJASIRIAMALI

Msikilize Mama mkazi wa Mtwara aliyejengewa uwezo wa elimu ya kukuza uchumi na mbinu za kiujasiriamali akiwashauri wanawake juu ya matumizi sahihi ya mikopo na huduma kwa wateja. Door of Hope ni shirika linalowawezesha wanawake na vijana nchini Tanzania.

UIMARISHAJI WA UCHUMI NA UJASIRIAMALI KWA WANAWAKE


Ukimsaidia Mwanamke Umesaidia Jamii, Vijana ni nguvu kazi ya Taifa. TUWAWEZESHE
Msikilize Mkurugenzi wa Door of Hope Mr. Clemence Clelinus akisisitiza umuhimu wa elimu ya fedha kwa wanawake na vijana wajasiriamali na wanaokopeshwa fedha na Halmashauri au taasisi za fedha.

ECONOMIC STRENGTHENING AND ENTREPRENEURSHIP TRAINING TO WOMEN AND YOUTH

Door of Hope imefungua programu maalumu ya Kuwawezesha vijana na wanawake nchini kwenye masuala ya kuboresha kipato kupitia shughuli zao za kiuchumi na Ujasiriamali. Msikilize Mkurugenzi Mtendaji Mr. Clemence Clelinusakitoa ufafanuzi mbele ya Mkuu wa wilaya juu ya programu hiyo na jinsi itakavyo wanufaisha wanawake wa Mtwara na baadae mikoa Mingine

SIKU YA WANAKWAKE DUNIANI


Shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania kwa kushirikiana na VSO Tanzania wameandaa Mdahalo wa tafakari na majadiliano (Breakfast panel discussion). Mdahalo huu ulilenga kujadili kwa kina maswala ya #WanawakeNaUchumi pamoja na #WanawakeNaAfya. Hii ni mwendelezo na kuenzi siku ya wanawake Duniani.
Mdahalo huu uliwakutanisha wanawake wa Wilaya ya Mtwara, Asasi za Kiraia, Watu kutoka sekta binafsi, Maafisa wa Serikali kutoka idara mahususi, waandishi wa habari na wanafunzi mbalimbali wa shule na vyuo.
Hakuna ukombozi wa mwanamke kiuchumi bila Afya bora.
Hakuna upiganiaji wa haki kwa wanawake bira Afya bora

LENGO NAMBA SITA LA MALENGO ENDELEVU YA DUNIA NI MAJI - WIKI YA MAJI NA HUDUMA BORA ZA MAJI NCHINI

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and indoor
Tarehe 16 - 22 march kila mwaka ni wiki ya maji ulimwenguni.

Lengo namba 6 la Malengo endelevu ya Dunia ni Maji safi na usafi wa Mazingira.

Takribani watu Milioni 663 ulimwenguni hawapati na hawana vyanzo vya maji safi. 


Nchini Tanzania, tatizo la maji bado ni kubwa sana na watu wengi hawapati maji na wengine hawana maji safi.

Tukiwa tunaelekea wiki ya maji kesho, leo DOOR OF HOPE tumetembelea uongozi wa mamlaka ya maji safi Mtwara, MTUWASA na kupata nafasi ya kushirikishana namna bora tunaweza kuongeza upatikanaji wa maji, ulindaji wa miundombinu na vyanzo vya maji, na kuwashirikisha wananchi kulinda na kutunza miundo mbinu hiyo.

Pichani ni Mkurugezi wa MTUWASA na ED- DHWYT na maafisa wa shirika.

UFUATILIAJI WA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (SAM) NA UFANIKISHAJI WA MALENGO ENDELEVU YA DUNIA

Lengo namba 4 la Maendeleo Endelevu ya Dunia ni Elimu.
Elimu ni kipaumbele cha taifa la Tanzania, na nchini Tanzania elimu inatolewa bila Malipo.
Lengo namba nne linaelekeza kila nchi kuhakikisha kupitia rasilimali zake inatoa elimu jumuhishi na bora kwa watoto.
Utafiti uliofanywa na shirika la Door of Hope mwaka 2017 juu ya ufaulu hafifu wa wanafunzi kwenye shule za msingi na sekondari kwenye mikoa ya Mtwara na Lindi ulibaini tatizo la Njaa kuwa chanzo cha kutofanya vizuri kwenye masomo yao,
Njaa na kukosa chakula inapelekea wanafunzi kutokuwa na utulivu darasani,mauzulio hafifu shuleni, kutoroka, afya mbaya na matokeo yake Kushindwa kwenye masomo.
Leo tarehe 19 machi, 2018 tumekutana na viongozi mbalimbali na wadau wa Elimu wa kata za Majengo na Likombe wakiwemo Madiwani, watendaji, walimu, Maafisa maendeleo, wenyeviti wa mitaa kujadili changamoto na namna ya kuongeza ufaulu kwenye halmashauri ya Mtwara Mikindani.
Tatizo la njaa kwa wanafunzi na uchache wa walimu kwenye shule za sekondari na msingi yamejitokeza mara nyingi kwenye majadiliano.
Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Mendeleo ya Elimu 
Image may contain: one or more people, people sitting, hat and indoor

WOMEN AND VIOLENCE EXTREMISM AND RADICALIZATION

Focus group discussion on preventing and responding to violent and extremism in Tanzania, is going on now at Serena Hotel. Door of Hope we are part of participants.   
Image may contain: 4 people, people sitting, table and indoor

ECONOMIC STRENGTHENING AND ENTREPRENEURSHIP

One of our objectives in ESE program is to link women and youth entrepreneurs with different stakeholders within and outside country. 
Today, Our Executive Director has had a useful meeting with TADB senior staff, and have agreed to work together in strengthening intervention in other districts in the southern zone.

#economicStrengtheningAndEntrepreneurship

TADB Senior Officer with DHWYT Executive Director having a meeting at TADB Head Office in Dar es Salaam

YOUTH AND RESOURCE GOVERNANCE IN EXTRACTIVE SECTOR -OIL, GAS AND MINERALS

Yesterday 6th April, 2018, Our Executive Director Mr. Clemence Clelinus Mwombeki held a gentle meeting with NRGI's Senior officers in Tanzania country office. It is our pleasure to see the on going discussion on the way to empower youth to effectively participate and promote good governance in Tanzania's extractive sector.


Ms. Theonestina, NRGI Program Officer rejoicing with DHWYT Executive Director Mr. Clemence when he visited Tanzania country Office in Dar es Salaam. 

YOUTH EMPOWERMENT THROUGH AGRICULTURE


The meeting between DHWYT, Executive Director Mr. Clemence Clelinusand ANSAF's senior program officers when he paid a visit to their head office in Dar Es Salaam. 
ANSAF - is an Agriculture Non State Actors Forum; Door of Hope to women and Youth Tanzania ðŸ‡¹ðŸ‡¿ is continuing to empower and support youth in Agriculture through its ambitious program of Economic strengthening and entrepreneurship - ESE.
DHWYT- Executive Director explaining Key Programs conducted by Door of Hope, in empowering Tanzanians Youth and Women. 

SATF Staff careful listening to Executive Director Mr. CLEMENCE MWOMBEKI when making clarification on SAM key issues and how Youth and Women are empowered through Agribusiness interventions.

POLICY ENGAGEMENT MEETING


Honored to participate in the Policy Engagement Stakeholders' consultative meeting. The development of new NGOs policy. We thank THRC for organizing and coordinating the event. Participants across the nation had an opportunity to review and giving opinions on the effectiveness and challenges of the current policy. The policy in use today was developed 17 years ago.
Group discussion going on


Mr. Onesmo Olengurumwa making presentation on the current challenge of NGOs police

DHWYT Executive Director following the discussion taking place during the workshop 


Former CAG presenting key issues on NGOs policy review 

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...