Uimarishaji wa Uchumi na Ujasiriamali kwa Vijana ni moja ya programu kubwa ya DHWYT. Tunawezesha vijana Kupitia kukuza ushiriki wao kwenye kilimo kwa kushawishiumiriki wa ardhi, upatikanaji wa Mikopo, Masoko na Uboreshaji wa huduma na maligafi za kilimo kutoka mashambani. #Kilimobiashara #Vijananinguvukaziyataifa #Vijananakilimo
Msikilize Mkrugenzi Mtendaji wa Door of Hope to Women and Youth Tanzania Mr. Clemence Clelinus
No comments:
Post a Comment