Watumishi wa Shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania wakifanya kikao na Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani. Pamoja na mambo mengi yaliyozungumzwa, tumekubaliana namna bora ya kuwawezesha wanawake kwenye maswala ya Ujasiliamali.
Shirika linataraji kuwawezesha vijana na wanawake kwenye Halmashauri Saba nchini moja wapo ni Mtwara Mikindani.


No comments:
Post a Comment