Uundaji wa timu za SAM kwenye wilaya ya Mtwara, lengo ni kuboresha upatikanaji wa huduma za jamii kama Elimu, Maji, Afya, na miundo mbinu.
Social Accountability Monitoring- SAM ni dhana shirikishi kata ya wananchi na viongozi au watoa huduma yenye lengo la kuhimiza uwazi na uwajibikaji hususani kwenye utekelezaji wa miradi ya jamii/umma.
Zoezi la uundaji wa Timu za SAM ngazi ya kata na wilaya umasimamiwa na kuratibiwa na shirika la Door of Hope.
No comments:
Post a Comment