We are pleased to be visited by officials from the USA
🇺🇸 Embassy in Tanzania
🇹🇿. We've had a productive conversation.


Tumefarijika kutembelewa na Maafisa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Tumekuwa na mazungumzo yenye tija.
![]() |
Mkurugenzi wa Door of Hope akiwa anaongea na Maafisa kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania - Ofisi za DHWYT Mtwara Tanzania |
![]() |
Picha ya pamoja na baadhi ya maafisa wa Door of Hope. |
No comments:
Post a Comment