Wednesday, August 1, 2018

HEALTH, NUTRITION ASSESSMENT AND COUNSELLING / AFYA, UNASIHI WA LISHE NA HUDUMA

Good health isn't a condition, it's a lifestyle!

What ways do you encourage people to adopt health lifestyle habits, like a healthy diet, regular exercise, and frequent checkups?
Door of Hope through health programs we support women and youth on Nutrition assessment and counselling, and Science of Early children development.

Afya njema siyo hali, ni maisha!

Ni njia gani unatumia kuwahimiza watu kuzingatia njia za maisha ya afya, kama kula chakula bora, kufanya mazoezi la kawaida, na kuchunguza afya mara kwa mara?
Shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania (DHWYT) kupitia programu ya Afya, tunasaidia Wanawake na Vijana juu Unasihi wa Lishe na huduma, na Sayansi ya Makuzi, malezi na maendeleo ya awali ya Mtoto.
No automatic alt text available.

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...