Zoezi la Uundaji wa kamati za Ufuatiliaji wa Uwajibikaji kwa jamii (SAM) Unaendelea katika wilaya ya Mtwara. Lengo ni kushirikisha wananchi kwenye uboreshaji wa huduma za jamii kama Afya, Maji, Elimu, na miundo mbinu.
Shirika la Door of Hope linasimamia zoezi la uundaji wa kamati hizi kwenye baadhi ya kata na mwisho kuunda kamati ya wilaya.
Shirika la Door of Hope linasimamia zoezi la uundaji wa kamati hizi kwenye baadhi ya kata na mwisho kuunda kamati ya wilaya.
No comments:
Post a Comment