Wednesday, August 1, 2018

RAFIKI MGODO WA DOOR OF HOPE - RM CLUB





Door of Hope Tanzania (DHWYT ) tunawafikia na kuwawezesha vijana na watoto kupitia klabu maalumu mashuleni na wasiokuwa shuleni. 

Klabu za vijana zinajulikana kama VSI - Vijana Simama Imara - Marafiki wa Door Of Hope.

Klabu za watoto zinajulikana kama RM Klabu - Rafiki Mdogo wa Door of Hope.

Tunayo miongozo maalumu yenye maudhui ya kujenga uelewa mpana na tunatumia mbinu wezeshi na shirikishi zinazo wapa uwezo wa utambuzi wa masuala ya yao, mazingira, jamii, Lishe, Afya ya Uzazi na maadili. 

#LifeSkills
#Nutrition 
#Hygean 
#Protection 
#ReproductiveHealth
#SocialEthics

No comments:

Post a Comment

MKURUGENZI WA DOOR OF HOPE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MHE. WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika jitihada za kushirikisha wadau na viongozi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Watanzania kazi na programu zinazotekelezwa na Shir...