The success of non-governmental organizations is being developed by working with other stakeholders. The DHWYT Director has been visited by VSO Tanzania Officers to discuss how best to empower women at this time when we are heading to celebrate the international women's
🚺 day.

Mafanikio ya mashirika yasiyokuwa ya kiseriali yanachangiwa kwa kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau wengine. Mkurugenzi wa DHWYT ametembelewa na maafisa wa VSO kujadili namna bora ya kuwawezesha wanawake hususani wakati huu tunapoelekea kuadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake.


No comments:
Post a Comment