Zaidi ya 50% ya watanzania ni Vijana. Karibia 65% ya Watanzania wanaishi kwa kutegemea sekta ya kilimo ambayo ni sekta kubwa na inachangia 30% ya GDP. Pamoja na sekta hii kutegemewa na idadi kubwa ya watanzania bado ushiriki wa vijana kwenye kilimo ni mdogo sana. Vijana wanaama kutoka vijijini kwenda Mjini na hivyo kuacha kazi ya kilimo kwa wazee. Ni wakati sasa Vijana kushiriki kwenye Kilimo biashara
No comments:
Post a Comment