MKUU WA WILAYA YA MTWARA AKIONGEA NA VIJANA WASHIRIKI WA WARSHA
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mr. Evod Mmanda akiongea na washiriki wa warsha wakati wa kufungua warsha ya kujengea uwezo vijana wa Lindi na Mtwara juu ya mkakati wa taifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo 2016-2021. Warsha imeandaliwa na DHWYTanzania kwa kushirikiana na ANSAF na AMSHA.
No comments:
Post a Comment