CHANGAMOTO YA USHIRIKI MDOGO WA VIJANA NA WANAWAKE KWENYE MASUALA YA UMMA
Ushiriki mdogo wa Vijana na Wanawake kwenye mikutano ya maendeleo ngazi ya mtaa/kijiji au Kitongoiji ni moja ya changamoto zinazolalamikiwa na Viongozi wa serikali za mitaa na kata, na inakwamisha shughuli ya kuandaa vipaumbele, mipango, mikakati na mgawanyo wa rasilimali kwenye ngazi husika.
Kama kijana au mwanamke unadhani ni sababu gani zinapelekea kutoshiriki kwako?
No comments:
Post a Comment