Ndg. Revelian Ngaiza - kutoka wizara ya Kilimo akiwezesha vijana wa Mtwara na Lindi kwenye eneo la fursa na mikakati ya serikali kusaidia vijana kishiriki kwa wingi kwenye Kilimo biashara. Warsha iliyoandaliwa na Door of Hope kwa Kushirikiana na ANSAF na AMSHA
No comments:
Post a Comment