VIJANA NA MKAKATI WA USHIRIKISHAJI VIJANA KWENYE KILIMO 2016-2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Door of Hope to Women and Youth Tanzania (DHWYT) Ndg. CLEMENCE, Clelinus MWOMBEKI akiongea na washiriki wa warsha ya kuwezesha vijana wa Mkoa wa Mtwara na Lindi akitoa ufafanuzi wa lengo la warsha na kilichowasukuma kujengea uwezo vijana wa mikoa hiyo kwenye mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo.

No comments:
Post a Comment