VIJANA WASHIRIKI WA WARSHA KUTOKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA
Picha ya pamoja na mgeni Rasmi Mhe. Mkuu wa Wilaya Ndg. Evod Mmanda baada ya kufungua warsha ya kuwajengea uwezo vijana wa Mkoa wa Lindi na Mtwara juu ya Mkakati wa kitaifa wa ushiriki wa vijana katika kilimo. Pichani mbele kutoka kushoto ni Afisa wa Kilimo kutoka Mtwara DC, Mkurugenzi wa ANSAF, Mkurugenzi wa Door of Hope Tz, na Afisa Maendeleo ya Vijana wa Mkoa wa Mtwara
No comments:
Post a Comment