NINI KIFANYIKE KUONGEZA USHIRIKI WA VIJANA NA WANAWAKE KWENYE MIKUTANO YA MAENDELEO NGAZI YA KATA, VIJIJI NA MITAA?
Mada 2: Nini kifanyike kuongeza ushiriki wa Vijana na Wanawake kwenye mikutano ya maendeleo ngazi ya kata, vijiji na mitaa?
NB: Shughuli zote za mipango, usimamizi na mgawanyo wa rasilimali ufanyika kuanzia ngazi ya mtaa/kijiji ; hivyo ushiriki wa Vijana na Wanawake kwa kiwango kikubwa uongeza chachu na michango juu ya Mikakati na usimamizi wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
No comments:
Post a Comment